
Baada ya Kocha wa Manchester United Louis Van Gaal kuchukizwa na kitendo cha kukosa windo lake alilokuwa amelitolea macho muda mrefu,anajiandaa kufunga safari kuelekea Uholanzi kutafuta njia mpya ya kujifariji kwa kuvamia Klabu ya Ajax nchini humo
Manchester United wanajiandaa kutoa ofa ya kitita cha pauni 15 milioni kumnasa beki Daley Blind,baada ya kutoka kapa kwenye mbio za kumuwania Thomas Vermaelen,gazeti la Mirror nchini Uingereza limeripoti...