Pages

 

Thursday, April 26, 2012

REAL MADRID VS BAYERN MUNICH,PICHA ZA MATUKIO

0 comments
...
Read more...

Wednesday, April 25, 2012

UKATILI GANI HUU!BINTI WA MIAKA 8 ABAKWA NA KUNYOFOLEWA JICHO

0 comments
Kuna habari kuwa binti mmoja mwenye  umri wa miaka 8 amebakwa ,kung`atwa ng`atwa shingoni na hatimae kung`olewa jicho la...
Read more...

Tuesday, April 24, 2012

MOURINHO NA WACHEZAJI WA MADRID WAKISHANGILIA BARCELONA KUTOLEWA NA CHELSEA

0 comments
JOSE MOURINHO AKIONGOZA WACHEZAJI WAKE KUSEREBUKA WAKATI WAKISHANGILIA KUTOLEWA KWA BACELONA NA CHELSEA JANA USIK...
Read more...

SHUHUDIA MATUKIO YA MECHI YA BARCELONA VS CHELSEA KATIKA PICHA

1 comments
...
Read more...

ZOGO LAANZA KUGOMBEA KAMPUNI YA KANUMBA

0 comments
Hisani `TINO` Muya MWIGIZAJI Nyota wa filamu na mtayarishaji wa filamu Swahiliwood, Hisani Muya` Tino`, amemshukia mchekeshaji na mwigizaji wa filamu Steven Mangere `Steve Nyerere` kwa kusema kuwa ni tatizo na mgombanishi wa wasanii wakubw...
Read more...

BREAKING NEWS:VAN PERSIE ATWAA TUZO NYINGINE

0 comments
Robin van Persie Straika wa Arsenal Robin van Persie asubuhi hii ametajwa kushinda tuzo ya  mwaka ya Mwanasoka Bora wa Waandishi,ikiwa ni siku tatu baada ya kutajwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wa Chama cha Wanasoka wa Kulipwa Uingereza (PF...
Read more...

ONA PICHA ZA WACHEZAJI WA CHELSEA WAKIJIFUA LEO

0 comments
...
Read more...

DIAMOND KUSHUKA NA HELKOPTA NDANI YA DAR LIVE JPILI HII.mpg

0 comments
...
Read more...

Monday, April 23, 2012

MASHUJAA MUSICA YAIKWANGUA `TWANGA`

0 comments
  Lilian `INTERNET` ...
Read more...

ONA `LULU` ALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI LEO ASUBUHI

0 comments
...
Read more...

MAELFU HUENDA WAKAKOSA INTERNET IFIKAPO JULAI

0 comments
Kwa mujibu wa habari nilizozinyaka kitu ambacho watumiaji wengi wa kompyuta duniani hawakuwa wanakijua kuwa wezi wa kimataifa wanaotutumia mitandao ya kompyuta (international hackers)waliingiza tangazo feki kwenye mitandao duniani kwa lengo la kudhibiti mienendo ya kompyuta dunia nzima.Baada ya hujuma hiyo, kwa kasi ya kushangaza, Shirika la Upelelezi la Marekani, FBI, kwa kutumia kompyuta za serikali ya nchi hiyo, lilijanzisha mfumo salama wa mtandao wa dharura kuzinusuru kompyuta zilizoshambuliwa duniani kote zisijifunge…lakin...
Read more...

Sunday, April 22, 2012

SARKORZY AANGUSHWA KATIKA UCHAGUZI

0 comments
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha kisoshalisti nchini Ufaransa Francois Hollande, ameshinda duru ya kwanza ya uchaguzi nchini humo. Kura nyingi zikiwa zimehesabiwa Bw Hollande tayari amepata asilimia 28 ya kura. Nicolas Sarkozy anafuatia kwa asilimia 27 hii ikiwa ni idadi ndogo zaidi kwa rais yoyote wa taifa hilo ambaye amewahi kugombea tena kiti hicho. Haijawahi kutokea kuwa rais aliye madarakani anashindwa...
Read more...

NIZAR KHALFAN AREJEA....KUJIUNGA NA SIMBA

0 comments
Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times...
Read more...

Z ANTO AKANUSHA HABARI ZA KIFO CHA SAJUKI

0 comments
Z ANTO JUMA `Sajuki` KILOWOKO  Kupitia wall yake ya facebook,msanii wa muziki wa Bongoflava Ally Mohamed Ahmad maarufu kama Z Anto amekanusha taarifa zilizoenea kuwa msanii wa filam Tanzania Juma Kilowoko maarufu kama Sajuki amefariki dunia.Katika status yake aliyoipost saa sita usiku wa kuamkia leo msanii huyo aliandika: "Kuugua sio kufa ukitaka kujua hli ona kifo cha Kanumba amekufa hali ya kuwa hakuwa na maradh yeyote yaliyokuwa...
Read more...

Saturday, April 21, 2012

MGAWANYO WA MALI WAANZA KUITIKISA FAMILIA YA KANUMBA!

0 comments
WIKI mbili baada ya kifo cha aliyekuwa msanii nyota wa filamu nchini, Steven Kanumba, wazazi wake; Charles Musekwa Kanumba na Mama yake, Flora Mutegoa ambao hawaishi pamoja, wametofautiana kuhusu suala la mali na mirathi. Juzi, Mzee Kanumba aliibuka na kudai kuwa kuna kundi la watu linalomdanganya mama huyo wa marehemu kwamba linajua zilipo mali za Steven jambo ambalo alisema ni uongo na kumtaka awe na subira na asidanganyike. Hata hivyo,kauli...
Read more...

KAOMBA MAJI KALETEWA MAZIWA,KUMBE......DAH!

0 comments
Jamaa aktika mizunguko yake kafika mahali akajiskia ana kiu akaenda nyumba iliyokuwa jirani na hapo akaomba maji ya kunywa.. Akaja mtoto na kikombe cha maziwa akampa. Jamaa alipomaliza akaomba aongezwe dogo akamletea tena maziwa.. Jamaa ikabidi aulize, ' " vipi mbona mnagawa maziwa kwa wingi namna hiyo?''  dogo akamwambia kuwa panya alindumbukia kwenye maziwa ndio maana wote hapa nyumbani wameyakataa.. duh jamaa kusikia vile kwa mshangao akaachia kikombe chini kikavunjika.. yule dogo akapiga kelele eti ... ''Yalaaaaaaaaa kile kikombe Bibi anachotemea mate kimevunjikaaaaaaa....!!...
Read more...

Friday, April 20, 2012

WOLPER ABADILI DINI

0 comments
Katika picha ni Jacqueline Wolper na aina ya usafiri anaotembelea sasa Staa wa kike anaekamata kwenye kiwanda cha muvi za kibongo Jacqueline Wolper ametajwa kuwa amebadili dini kutoka kwenye ukristo na kuhamia kwenye uislam.Staa huyo amenukuliwa na gazeti moja akikiri kuwa amefanya zoezi hilo wiki mbili zilizopita katika Masjid Kichangani pale Magomeni Mapipa na kuwa hivi sasa anakwenda kwa jina la Ilham. Inadaiwa kuwa Wolper amechukuwa hatua...
Read more...

THIBITISHO KUWA HABARI ZA MIONZI HATARI NI UZUSHI!!!!

0 comments
Picha hii inaonekana kama ya tukio la kutisha juu ya anga la jiji la Moscow, ilipigwa usiku wa tarehe 28 mwezi uliopita na jopo la wanasayansi wanaoishi kwenye kituo cha kimataifa cha angani wakati chombo chao cha kusafiri kikipita umbali wa maili 240 kutoka uso wa dunia.Kipande cha kunasa nishati ya jua(solar array panel)inayotumiwa kuendesha kituo hicho kinaonekana kushoto mwa picha hii....Hapa  upinde wa mwanga,taa za jiji na mwanga wa...
Read more...

Thursday, April 19, 2012

MTOTO WA AJABU AZALIWA PAKISTAN!

0 comments
Mtoto mwenye miguu sita amezaliwa mjini Sukkur nchini Pakistan wiki iliyopita na amelazwa kwa uangalizi kwenye Taasisi ya Taifa Inayoshughulika na Afya ya  Watoto ya nchi hiyo,NICH,jijini Karachi. Mkurugenzi wa taasisi hiyo Dr. Jamal Raza,amefafanua kuwa katika hali isiyokuwa ya kawaida  ya mtoto huyo kuwa na miguu sita,mtoto huyo si mmoja kama anavyoonekana,bali ni watoto wawili katika mwili mmoja na kati yao mmoja bado hajakomaa.Amesema...
Read more...

Monday, April 16, 2012

MUAMBA ARUHUSIWA RASMI KUTOKA HOSPITALINI

0 comments
Fabrice Muamba akipeana mkono wa kuagana na madaktari Andrew Deaner na Sam Mohsin kutoka Kituo Cha Afya Cha Bart                        &nb...
Read more...

EL HADJI DIOUF AKAMATWA NA POLISI

0 comments
Mwanasoka raia wa Senegal anaecheza mpira wa kulipwa nchini Uingereza katika klabu ya Blackburn Rovers El Hadji Diouf amekamatwa na polisi wa jiji la Manchester jana kwa tuhuma za kuhusika na fujo zilizotokea kwenye klabu moja ya usiku jijini humo Katika fujo hizo ambazo zilitokea alfajiri ya kuamkia jana jumapili mtu mmoja anaetajwa kuwa na umri wamiaka 33 alijeruhiwa kichwani na shingoni Diouf na watu wengine watano walikamatwa kwa tuhuma za kuhusika...
Read more...

MWENYEKITI WA VIJANA CCM ARUSHA AJITOA CCM

0 comments
          Mwenyekiti waUmoja Wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Wa Arusha Bw.James Ole Millya ametangaza kujiondoa kwenye chama hicho leo mchana .Habari zaidi ungana nami baa...
Read more...

Sunday, April 15, 2012

REAL MADRID YAFANYA MABADILIKO KWA KUHESHIMU UISLAM

0 comments
Timu ya soka ya Hispania Real Madrid wamefanya mabadiliko kwenye nembo(logo) yao ya sasa kwa kuheshimu matakwa ya kiimani ya mashabiki wao wa kiislam.Miamba hiyo ya Hispania inatarajiwa kuondoa alama ya msalaba ambayo ipo kwenye nembo hiyo kwa karibu karne moja sasa Timu nyingine ya Hispania ambayo ilifanya zoezi hilo ni miamba wengine wa Hispania Barcelona ambao waliamua kuondoa alama ya msalaba kwenye nembo ...
Read more...

MUVI ZA KANUMBA ZAANZA KURUSHWA NA DSTV MWEZI MZIMA KUANZIA JANA

0 comments
 Kuanzia jana Jumamosi kampuni ya televisheni ya kulipia kwa njia ya satellite, DSTV,kupitia chaneli yao ya Africa Magic Swahili, imeanza kurusha filam zilizochezwa na msanii maarufu wa tasnia ya filam nchini Tanzania, Marehemu Steven Kanumba aliyefariki ghafla nyumbani kwake Sinza usiku wa  kuamkia Jumamosi ya tarehe 7 Aprili Ikiwa ni sehemu ya kumuenzi Kanumba chaneli hiyo jana ilirusha filam ya UNCLE JJ kuanzia saa 1.30  usiku...
Read more...

TUZO ZA KILI AWARDS NCHINI TANZANIA

0 comments
Vijana wa THT wakishambulia jukwaa jana wakati wa sherehe za kukabidhi tuzo za Kili Awards hapa jijini Dar Es Salaam Msanii wa Bongoflava, Diamond akipokea tuzo yake Mama Khadija Kopa akitoa mchango wake kuchangamsha sherehe Khadija Kopa,mumewe na watoto wao katika  pozibaada ya kupokea tuzo Mchekeshaji Steve Nyerere na msanii wa maigizo Sinta wakifuatili utoaji wa tuzo Diamond Platinum janaaliwafunika wasanii wenzake wa muziki baada...
Read more...
 
Said Nuhu © 2012 SAID NUHU BLOGS. BLOG IMETENGENEZWA NA BongoClan blog designer nipigie 0658184797