
Siku chache zilizopita mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa 8 (The Chase) Nando alitimuliwa kutoka kwenye jumba linalowahifadhi washiriki wa shindano hilo kwakile kilichoonekana kutishia usalama wa mshiriki mwenzake Elikem,mwakilishi wa Ghana.
Habari mpya hivi sasa ni juu ya `tweet` ya mshiriki huyo juu ya jaribio lake la kutaka kujiua mwaka 2011
Hii inaonesha kuwa Nando amepitia kwenye utoto wenye misukosuko...