Pages

 

Monday, August 11, 2014

HASIRA ZAMFANYA VAN GAAL KURUDI UHOLANZI

0 comments
Baada ya Kocha wa Manchester United Louis Van Gaal  kuchukizwa na kitendo cha kukosa windo lake alilokuwa amelitolea macho muda mrefu,anajiandaa kufunga safari kuelekea Uholanzi kutafuta njia mpya ya kujifariji kwa kuvamia Klabu ya Ajax nchini humo Manchester United wanajiandaa kutoa ofa ya kitita cha pauni 15 milioni kumnasa beki Daley Blind,baada ya kutoka kapa kwenye mbio za kumuwania Thomas Vermaelen,gazeti la Mirror nchini Uingereza limeripoti...
Read more...
 
Said Nuhu © 2012 SAID NUHU BLOGS. BLOG IMETENGENEZWA NA BongoClan blog designer nipigie 0658184797