Pages

 

Thursday, June 28, 2012

CHADEMA YATOA TAMKO KUHUSU MKASA WA DK.ULIMBOKA

0 comments
Benson Kigaila, Mkurugenzi wa mafunzo na organization Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. akitoa tamko la chama hicho juu ya kutekwa na kuteswa mwenyekiti wa madaktari dk Ulimboka steven, katika makao makuu ya CHADEMA Mtaa wa Ufipa Kinondoni, leo mchana Mkurugenzi wa Mafunzo na Oganaizesheni ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo,CHADEMA,Bw.Benson Kigaila leo mchana ametoa tamko la chama hicho juu ya utekwaji nyara wa Kiongozi wa Jumuia...
Read more...

MKASA WA KIONGOZI WA JUMUIA YA MADAKTARI TANZANIA ALIYEKUWA AMETEKWA

0 comments
Mweneyikiti wa Jumuia ya Madaktari nchini Dk Stephen Ulimboka, ambae amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kutekwa nyara, kupigwapigwa na kujeruhiwa vibaya na watu wasiofahamika,ameongelea tukio zima lililomkuta. Taarifa zinasema kwamba madaktari wanaomhudumia wamesema kuwa Dkt Ulimboka  amevunjwa mbavu, miguu yote miwili, kang’olewa meno yote ya mbele na kuumizwa vibaya katika sehemu mbalimbali za mwili wake. Tukio ...
Read more...

Wednesday, June 27, 2012

KIONGOZI WA MGOMO WA MADAKTARI AOKOTWA AKIWA HAJITAMBUI

0 comments
Mwenyekiti wa Jumuiya ya madaktari  nchini, Dk Stephen Ulimboka amelazwa katika hospital ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuokotwa katika pori la Pande nje kidogo ya jiji akiwa taaban.Inasemekana Dk Ulimboka alitekwa jana na watu wasiojulikana.    Helen Kijo-Bisimba wa LHRC amenukuliwa katika East Africa Redio,ambaye amekariri maelezo ya Dkt. Ulimboka ambayo pia yamesikika yakitamkwa na mwenyewe (Dkt. Ulimboka Steven), kupitia kituo...
Read more...

Monday, June 25, 2012

BOMB ATTACK AS PEOPLE WATCHING ENGLAND VS ITALY IN MOMBASA

0 comments
An attack victim being helped at the Coast General Hospital in Mombasa One person was killed and several others injured in a grenade attack in a bar and restaurant in Mishomoroni estate in Mombasa, Kenya on Sunday night. The attack occurred at around 10p.m. at the so called Jericho Beer Garden in the sprawling Mombasa estate.The dead man and the injured were at the outer section of the bar dancing to the music when the explosion occurred...
Read more...

Sunday, June 24, 2012

NAIBU WAZIRI AIBUKA NA KUKANUSHA KUFUMANIWA

0 comments
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh. George Simbachawene(Mb) Jana ziliibuka na kuenea habari za Naibu Waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene kuwa alifumaniwa na mke wa askri huko Singida katika hoteli maarufu mjini humo ya Aqua. NAIBU Waziri  ameibuka na kukanusha vikali uvumi mbele ya waandishi wa habari mjini Karatu jana jioni, Simbachawene ambaye pia ni Mbunge Kibakwe (CCM) mkoani Dodoma, alisema habari hizo ni uongo na kudai...
Read more...

Saturday, June 23, 2012

BREAKING NEWS:NAIBU WAZIRI AFUMANIWA NA MKE WA MTU LEO

0 comments
Kuna habari kutoka Singida zinasema NAIBU WAZIRI.. (JINA LIMEHIFADHIWA) amefumaniwa akiwa na mke wa mtu (mke wa askari mmoja) pale Singida katika Hotel ya Aqua.    .Kwa mujibu wa Blog ya The Choice  amefumaniwa  saa 10 alfajiri. Baada ya kupata tip hiyo, maaskari walikwenda wakazingira hotel hiyo, wakati WAZIRI HUYO akitoka yule askari mwenye mke kumbe alikuwa ameficha sime/panga akamkata Mheshimiwa Naibu Waziri.Habari zinasema alikuwa yuko njiani kwenda msibani ukweni kwake, Karatu. Hata wakati wa kupiga kura jana jioni hakuwepo bungeni, akiaga kuwa anawahi msibani. Habari...
Read more...

Friday, June 22, 2012

MNYIKA AELEZA SABABU YA KUOMBA MUONGOZO SAKATA LA MADAKTARI BUNGENI LEO

0 comments
Lengo la Kuomba Mwongozo - Sakata la Madaktari Kwanini niliomba muongozo-Sakata la Mgomo wa Madaktari Leo nilitaka kuomba muongozo wa Spika kwa mujibu wa Kanuni 49 (2) baada ya Waziri wa Afya kutoa kauli juu ya utekelezaji wa madai ya madaktari. Kanuni hiyo inataka kauli isiwe ya kuzua mjadala lakini aliyoyaeleza waziri juu ya uboreshaji wa maslahi ya madaktari yanazua mjadala kwa kuwa yanatofautiana na majibu ya Waziri Mkuu, Mizengo...
Read more...

KENYAN POLICE SEIZE INBOUND EXPLOSIVE SHIPMENTS IN MOMBASA

0 comments
Port of Mombasa in Kenya According to Reuters, Kenyan police had arrested two Iranians after they seized chemicals they suspected were going to be used to make explosives in Mombasa, which has been hit by a series of attacks. The port city, the capital Nairobi and other parts of Kenya have suffered a series of grenade attacks since Kenya sent troops into Somalia last year to try to crush al Shabaab insurgents it blames for a surge in violence...
Read more...
 
Said Nuhu © 2012 SAID NUHU BLOGS. BLOG IMETENGENEZWA NA BongoClan blog designer nipigie 0658184797