Pages

 

Sunday, July 28, 2013

CHELSEA INAMTAKA MTOTO WA DAVIS MOSHA

0 comments
Edgar Davis Mosha mtoto wa mfanyabiashara tajiri na maarufu boss wa kampuni ya DELINA, Bwana Davis Mosha amehojiwa na VOA (Voice of America). Edgar na baba yake wametua kwa kishindo nchini Marekani wakitokea Uingereza ambapo Edgar amepeperusha vyema bendera ya Tanzania kwa kuitwa  kufanya majaribio na klabu ya Chelsea ya Uingereza..    ...
Read more...

WATANZANIA WALIOKAMATWA NA MADAWA HONG KONG WATUMA WARAKA MZITO..WATAJA WAHUSIKA WAKUU..WAMO VIGOGO NA WAFANYABIASHARA MAARUFU

0 comments
WATANZANIA walio gerezani nchini Hong Kong kwa makosa ya kukutwa wakisafirisha madawa hatari ya kulevya,wametuma waraka mzito kwa wananchi wenzao kuelezea  mambo mengi ambayo wananchi wa kawaida hawayajui kuhusu biashara hiyo inayopigwa vita duniani kote,na pia wamewataja wahusika ambao ndio wamiliki wakuu wa biashara hiyo waraka wenyewe ni huu hapa chini..usome kwa makini: ...
Read more...

Friday, July 26, 2013

VYAMA VYA USHIRIKA NI MAGENGE YA WEZI-KIKWETE

0 comments
Rais Kikwete Bukoba. Rais Jakaya Kikwete, amesema baadhi ya vyama vya ushirika nchini vina mkusanyiko wa wezi wanaokula fedha za wananchi bila hata kunawa. Kikwete aliyasema hayo juzi jioni alipokuwa akizungumza na wananchi baada ya kufungua jengo la kitega uchumi la Chama cha Ushirika cha Mkoa wa Kagera (KCU), mjini Bukoba. “Acheni kuwa wachuuzi tu wa kununua na kuuza...
Read more...

HUU NI WARAKA MZITO KWA WATANZANIA KUTOKA KWA KALA JEREMIAH KUHUSU LOWASSA

0 comments
Msanii wa Hip hop Kala Jeremiah TANGAZO KWA UMMA MIMI KALA JEREMIAH NILIKUWA MSANII WA KWANZA TANZANIA KUMSEMA MHESHIMIWA EDWARD LOWASA KUPITIA WIMBO WANGU UITWAO WIMBO WA TAIFA BAADA YA MHESHIMIWA KUKUMBWA NA KASHFA YA UFISADI WA RICHMOND.KWA KIPINDI KILE KILA MMOJA WETU ALIHAMAKI SANA NA KUONA KWELI MZEE WA WATU NI FISADI.KWENYE WIMBO HUO KUNA MISTARI NILISEMA. mi siyo mwana siasa sisubiri tume ichunguze nistaafu ka Lowasa. KWA ...
Read more...

Monday, July 22, 2013

ORPHANED GIRL BURNT WITH HOT WATER BY HER KEEPER IN AN ARGUMENT OVER DISAPPEARED PART OF FOOD

0 comments
Dora after after reciving medical treatment A twelve years old girl,student of Wazo Hill Primary School in Dar Es Salaam,has claimed that she was burnt with hot water by her niece, Saum Masudi. The little girl whose name is Dora said she faced that kind of atrocity few days ago in the Wazo area where she lives with Saum, her niece, and keeper after the death of her father. In her account of the tragedy Dora said that in the morning of...
Read more...

HUU NI UKATILI MKUBWA..YATIMA AMWAGIWA MAJI YA MOTO,KISA KIPORO CHA UGALI!

0 comments
Mtoto Dora baada ya kupata msaada kutoka kwa msamaria mwema Mtoto Dora Juma,12, mwanafunzi wa Shule ya Msingi Wazo Hill, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imedaiwa ameunguzwa kwa maji ya moto na binamu yake aliyetajwa kwa jina la Saum Masud. Dora ambaye ni yatima alikutwa na dhahama hiyo hivi karibuni eneo la Wazo Dar alikokuwa akiishi na binamu yake huyo kama mlezi wake baada ya kufiwa na baba yake. Akisimulia tukio hilo Dora alidai...
Read more...

MJANE WA MWANAJESHII ALIEUAWA DARFUR `ATOLEWA NDUKI`

0 comments
Hata kabla ya maziko askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), waliouawa Darfur, Sudan hayajafanyika, mchumba wa mmoja wa wapiganaji hao, Amina Juma ameonja chungu nyingine baada ya kutimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi na marehemu mwenza wake. Amina ambaye inadaiwa kuwa alikuwa akiishi na Fortunatus Msofe aliyekuwa askari katika Kambi ya Msangani, 36KJ Pwani alisema jana: “Kumekuwa na mzozo wa...
Read more...

Sunday, July 21, 2013

SHILOLE AFANYA MAHOJIANO NA `TAKE ONE` NYUMBANI KWA DIAMOND

1 comments
Mtangazaji wa Clouds Tv, Zamaradi Mketema, alikuwa nyumbani kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongoflava)Nasib Abdul (Diamond Platinumz) ambako msanii huyo alikuwa akifuturisha.Bi Mketema alipata wasaa wa kumhoji msanii mwingine katika tasnia hiyo ya muziki Zuwena Mohamed`Shilole`.Mahhojiano hayo yalikuwa mahsusi kwa kipindi cha TAKE ONE cha Clouds Tv kinachoendeshwa na Bi Mketema.Watu hao wawili walikuwa ni sehemu ya watu kadhaa walioalikwa...
Read more...

NUSU YA WAZAZI WA KIUME NCHINI WANALEA WATOTO WA KUBAMBIKIWA

0 comments
Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali nchini imesema karibu nusu ya watu waliojitokeza kupima vinasaba (DNA) ili kubaini uhalali wa watoto wao, vipimo vimeonesha si wazazi halisi wa watoto waliopimwa.   Takwimu hizo ni kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2010, ikionesha kuwa, asilimia 48.32 ya wazazi 'wanalea' watoto wasio wa kwao wakati asilimia 51.68 ndio wazazi halali. Hayo yameelezwa jana na Mkuu wa Kitengo cha Makosa ya...
Read more...

WAENDA JELA KWA KUPOST NYAMA YA NGURUWE NA KEJELI KWENYE FACEBOOK WAKATI WA MFUNGO

0 comments
Alvin Tan na Vivian Lee wakiwa chini ya ulinzi Wamiliki wa Blog moja inayojihusisha na masuala ya ngono Alvin Tan na Vivian Lee wamefunguliwa mashtaka na kuwekwa ndani bila ya dhamana nchini Malaysia baada ya kuweka picha inayowakosea waumini wa kiislam kwenye Facebook.Wanakabiliwa na adhabu ya kifungo cha miaka minane jela. Alvin na Vivian kwenye picha iliyowaponza ambayo ina ujumbe unaotafsirika kama"Futari njema furahi na nyama ya nguruwe,harufu...
Read more...

Wednesday, July 17, 2013

BREAKING NEWS:LUKUMAY WA KLABU MASAI AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI

0 comments
LUKUMAY  (kulia)enzi za uhai wake Habari nilizozipata muda mchache uliopita ambazo zimethibitishwa na ndugu na jamaa wa karibu zinasema Benedict Charles Lukumay amefariki kwa ajali ya gari eneo la Mikumi mkoani Morogoro usiku huu.   Chanzo cha kifo chake kimeelezwa kuwa ni ajali ya gari iliyotokea eneo la Mikumi mkoani Morogoro majira ya saa mbili usiku. Meneja mkuu wa Meridian Hotel LTD Mzee Mponda amethibitisha juu ya kifo hicho,...
Read more...

PHOTOS:LADY JAY DEE`S MAKE-UP SESSION DURING THE VIDEO SHOOTING OF HER SINGLE HIT `YAHAYA`

0 comments
...
Read more...

MKONGWE GEORGE MASATU ALILIA KURUDI SIMBA

0 comments
Waliosimama kutoka kushoto.ni Rashid Msemakweli(Dokta)Abdallah Kibadeni,Often Martin,Razak Yusuf,George Lucas,Iddi Seleman,Damian Kimti,Abdul Mashine,George Masatu,Entienne Eshete,Mzee Abdulrahman Muchacho. Waliochuchumaa kutoka kushoto ni.Kasongo Athuman,Selemani Pembe,Edward Chumila,Dua Said,Fikiri Magoso,Malota Soma na Mohamed Mwameja. Hii ilikuwa ni mechi ya Simba na Yanga (Simba ilishinda 1-0 mfungaji Dua Said.)Nahodha wa Simba siku hii...
Read more...

BAN KI MOON ALAANI MAUAJI YA WANAJESHI WA TANZANIA DARFUR

0 comments
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNO), Ban K-Moon(pichani), amesema amesikitishwa na kuhuzunishwa na mauaji ya askari saba wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), lililofanywa na waasi wa Sudan Julai 13, mwaka huu. Askari hao wa JWTZ waliokuwa Darfur, Sudan ya Kusini kulinda amani kwa mujibu wa UNO, walishambuliwa na waasi hao karibu na kambi ya Manawashi eneo la Khor Abeche, mji wa Darfur Jimbo la Nyala ambapo pia...
Read more...

USHINDI WA ARSENAL WAFANYIWA PROPAGANDA ZA KISIASA INDONESIA

0 comments
Sege Gnaby wa Arsenal akikwepa daruga la mchezaji wa Indonesia, Roby Mgombea urais katika uchaguzi wa Rais wa 2014 kupitia Chama cha Great Indonesia Movement Party (Gerindra) Jenerali mstahafu Prabowo Subianto ameutumia mchezo kati ya timu ya taifa ya nchi hiyo na Arsenal kuishambulia serikali iliyo madarakani katika hotuba ya mkutano wa Kampeni za uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo wa mwaka 2014 Baada ya timu ya taifa ya Indonesia kupokea kipigo...
Read more...

ASKARI POLISI AELEZEA KILICHOTOKEA KATIKA SHAMBULIO LA DARFUR

0 comments
Askari wa JWTZ walionusurika wakiwa Hospitali WAKATI Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), likiwa bado halijatangaza rasmi majina ya wapiganaji wake waliofariki huko Sudan, askari polisi aliyeko huko ameeleza chanzo na mazingira ya tukio hilo. Wapiganaji saba na wengine 14 walijeruhiwa Jumamosi iliyopita. Askari polisi huyo anayefanya kazi katika Mji wa Nyala uliopo Darfur, alisema mauaji hayo yalitokea wakati askari hao walipokuwa...
Read more...

VITAMBULISHO VYA TAIFA:MAMLAKA YAANZA KUCHUKUA ALAMA ZA VIDOLE,SAINI NA PICHA

0 comments
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), imeanza zoezi la kuchukua alama za vidole vyote kumi, kupiga picha na kuweka saini ya kielektroniki kwa wakazi wa Wilaya ya Temeke tayari kwa kutoa vitambulisho hivyo. Kaimu Mkuu wa Mawasiliano na Machapisho, Thomas William aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa, kutokana na wingi wa watu katika Jiji la Dar es Salaam, zoezi hilo limegawanywa katika ngazi ya wilaya...
Read more...

Sunday, July 14, 2013

MUNGU KAINGILIA KATI?MALAIKA JIBRIL(GABRIEL)`AONEKANA KWENYE MAANDAMANO` MISRI

0 comments
Waandamanaji wanaomuunga mkono Rais Morsi,wamedai kuwa wameona mwanga wa aina yake.. Kwa mujibu wa gazeti la Al Arabia,taarifa hizi zimetolewa na muhubiri mmoja anayeegemea upande wa Morsi,wakati akiwahutubia wafuasi wa Morsi katika viwanja vya Rabia all-Adawiya jijini Kairo, Katika hotuba hiyo iliyorushwa na vituo kadhaa vya televisheni vya Misri,muhubiri huyo amesema kuwa malaika Jibril ameonekana miongoni mwa wafuasi wa Morsi wanaoandamana Muhubiri...
Read more...
 
Said Nuhu © 2012 SAID NUHU BLOGS. BLOG IMETENGENEZWA NA BongoClan blog designer nipigie 0658184797