Watu wengi duniani wanaamini kuwa ufisadi umezidi huku mmoja kati ya
watu wanne akikiri kutoa rushwa katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
Shirika la kupambana na ufisadi duniani Transparency International limetoa ripoti ya utafiti wake jana, inayoonyesha kuwa viwango vya ufisadi duniani bado viko juu lakini watu wana uwezo wa kuukomesha.
Kati ya nchi kumi zilizotajwa,nane zinatokea barani Afrika.
ambapo katika kanda ya Afrika mashariki Kenya bado iko nyuma kukabiliana na rushwa .
0 comments:
Post a Comment