Pages

 

Saturday, April 14, 2012

JIHADHARINI NA WAPOTOSHAJI WA HABARI!!

0 comments




Wadau naomba nitoe tahadhari kwa wale wanaopata habari na tetesi kupitia mitandao ya kijamii na Blog mbalimbali.Kuna tatizo kupotosha ukweli limeingia katika utoaji habari kwa njia ya mitandao hiyo,aidha ni la makusudi au kutokupima jambo na kukurupuka kulipost bila kulifanyia kazi.Badhi ya watu wamepost hii picha wakiihusisha na tukio la Lulu kufikishwa mahakamani kwa kosa la mauaji.Ukweli ni kwamba picha hii ilipigwa mwaka jana wakati Lulu alipofikishwa kwenye mahakama ya mwanzo Kinondoni kwa tuhuma za kumtusi mlalamikaji Kilakhaba Aziz...
Lakini wakati Lulu anafikishwa mahakama ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Kisutu alikuwa amevaa Dera la rangi ya njano na mtandio wa rangi ya waridi na kandambili nyekundu......tuwe makini

0 comments:

Post a Comment

 
Said Nuhu © 2012 SAID NUHU BLOGS. BLOG IMETENGENEZWA NA BongoClan blog designer nipigie 0658184797