Pages

 

Monday, April 23, 2012

ONA `LULU` ALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI LEO ASUBUHI

0 comments



Lulu akiingizwa kwenye chumba cha mahakama
Ulinzi mkali mahakamani



Akielekezwa mahali pa kwenda
Gari lililombeba Lulu kutoka mahabusu
Baba mzazi wa `Lulu`

Mshtakiwa wa tuhuma za mauaji ya  Msanii Steven Kanumba,Elizabeth Michael `LULU`(mwenye Dera jekundu)huku amezungukwa na kundi la askari wa Magereza akipandishwa ngazi kuingia mahakama ya Kisutu leo asubuhi.Kesi hiyo imesomwa mbele ya Hakimu Mkazi Wa Mahakama ya Kisutu Bi Rita Tarimo na kulingana na Wakili wa Serikali   Bi Elizabeth Kaganda, kesi imeahirishwa hadi tarehe 7 mwezi ujao kwa kuwa ushahidi bado haujakamilika
PICHA KUTOKA: http://networkedblogs.com/  na http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/lulu-1

0 comments:

Post a Comment

 
Said Nuhu © 2012 SAID NUHU BLOGS. BLOG IMETENGENEZWA NA BongoClan blog designer nipigie 0658184797