
![]() |
| FRENANDO TORRES AKIPONGEZWA NA WENZAKE DIDIER DROGBA NA JUAN MATA BAADA YA KWISHA MECHI JANA |
![]() |
| RAMIREZ AKIFUNGA GOLI ZURI NA KUFANYA MATOKEO KUWA 2-1 |
![]() |
| FERNANDO TORRES AKIWAINUA MASHABIKI WA CHELSEA DUNIA NZIMA KWA GOLI SAFI LA DAKIKA ZA MAJERUHI |
![]() |
| "NAELEKEA MUNICH"...DI MATEO |
![]() |
| KOSA LA KIJINGA LINA PELEKEA NAHODHA JOHN TERRY KUPEWA `MARCHING ORDER` NA REFARII.TERRY ATAUKOSA MCHEZO WA FAINALI MJINI MUNICH |
![]() |
| SERGIO BASQUETE AKISHANGILIA GOLI LA KWANZA |
![]() |
| NI DAKIKA YA 44 ANDRES INIESTA ANAWEKA GOLI LA PILI NA KUFANYA MATOKEO YAWE 2-0 |
![]() |
| MESSI AKIWA CHINI YA ULINZI |
![]() |
| FERNANDO TORRES AKIPONGEZWA BAADA YA KUFUNGA GOLI LA KUSAWAZISHA DAKIKAZA MAJERUHI |
![]() |
| DIDIER DROGBA AKIWA AMEKATA TAMAA BAADA YA KUSABABISHA PENATI |
![]() |
| JOHN TERRY AKISHAURIWA NA WENZAKE KWENDA NJE BAADA YA KUPEWA KADI NYEKUNDU |
![]() |
| MESSI ANAKOSA PENATI NA KUPAISHA MPIRA |
![]() |
| RAMIREZ AKIUCHOTA MPIRA KUUVUSHA JUU YA KICHWA CHA VICTOR VALDES NA KUFUNGA GOLI LA KWANZA LA CHELSEA |
![]() |
| GERALD PIQUE AKIGONGANA NA KIPA WAKE VICTOR VALDES....PIQUE ALIUMIA NA KUWAHISHWA HOSPITALI |
![]() |
| NINI BARCA....WATU TUMEONA MADOA!EBU TULIA HAPO |
![]() |
| MSHABIKI WA BARCELONA AKIWA HAAMINI KILICHOTOKEA |





























1 comments:
Now its a time 4 Chelsea fc. The Blues, Kings of London.
Post a Comment