Jana kulikuwa na mshikemshike dunia nzima wakati binadamu walipopata taarifa za kushtua za kushuka kwa mionzi hatari kutoka anga za mbali(COSMO RAYS).Watu walioathirika na taarifa hizo za uongo ni watumiaji wa mawasiliano ya kompyuta (INTERNET) na simu
Watu walitembeza ujumbe kupitia Internet na simu kutarifu kuwa kuanzi usiku wa manane hadi saa 9.30 usiku watu wote wanashauriwa kuzima simu zao za mkononi na kuzuwe ka mbali nao kwa kuwa mionzi hatari inayotokea sayari ya Mars itatua kwenye uso wa dunia,,,kwa maana kwamba watakaokaidi ushauri huo watakumbwa na mtatizo yatakayosababishwa na mionzi hiyo
Uongo huu ni kama marejeo ya ule uliowahi kusambazwa miaka michachae iliyopita na kuzusha tafrani duniani.Ujumbe kwenye mtandao mmoja wa kijamii ulikuwa:
Mtu mwingine kutoka Japan aliandika:"I searched ON NASA web page and on latest space and science news, the Cosmo rays is indeed a rumor. Someone received this message from a friend on a blackberry messenger and he or she wanted to know if its true,so they posted the news on the internet.I am replying from Windhoek ,Namibia and this rumor seems to be everywhere.I also received the message. I have a theory to present.Here is my hypothesis:Someone send the Cosmo rays message on the 1st of April to a friend,they didn’t want to make it obvious since 1st April is a fools Day,to make this believable, they make a joke three day after April Fools Day(1st of April 2012). My dad just calls me and orders i switch off my phone this night (April 3). No reason given. I then stumble on this cosmic rays thing on a friend’s FB page and deside to google, not out of doubt but for more information. Now i know better….. Information is key!"
" WHY THE HELL ARE THEY SPREADING THIS STUPID RUMOR????
Mars doesn’t produce cosmic rays.
THIS IS JUST A RUMOR"
Na mwingine kutoka hapa nchini aliyejitambulisha kwa jina la Hija aliandika:
.."I JUST RECEIVED SMS HERE IN TANZANIA WITH THE SAME CONTENT, BUT I WENT ALL OVER THE WEB – NOTHING SEEMS TO SUPPORT THIS STUPID RUMOR.
P/S STOP IT !"
Na huyu nae alichangia kwa kusema:
"AHAHAHA…BELATED APRIL FOOL’S DAY!!!!!!!!!!!!!!! LOL!!!"
0 comments:
Post a Comment