Pages

 

Sunday, April 22, 2012

Z ANTO AKANUSHA HABARI ZA KIFO CHA SAJUKI

0 comments
Z ANTO
JUMA `Sajuki` KILOWOKO

 Kupitia wall yake ya facebook,msanii wa muziki wa Bongoflava Ally Mohamed Ahmad maarufu kama Z Anto amekanusha taarifa zilizoenea kuwa msanii wa filam Tanzania Juma Kilowoko maarufu kama Sajuki amefariki dunia.Katika status yake aliyoipost saa sita usiku wa kuamkia leo msanii huyo aliandika:

"Kuugua sio kufa ukitaka kujua hli ona kifo cha Kanumba amekufa hali ya kuwa hakuwa na maradh yeyote yaliyokuwa yanamsumbua akabak Sajuki anayeumwa. Kuna uvumi usemao Sajuki Kafa hii inshu siyo kweli coz me hata nyumbani cjafika nimetoka hom kwake kumsalimia. Jua yupo hai huu ndiyo ukweli uliopo"
Hawa ni baadhi ya marafiki waliochangia kwenye wall yake

0 comments:

Post a Comment

 
Said Nuhu © 2012 SAID NUHU BLOGS. BLOG IMETENGENEZWA NA BongoClan blog designer nipigie 0658184797