Pages

 

Saturday, April 21, 2012

KAOMBA MAJI KALETEWA MAZIWA,KUMBE......DAH!

0 comments
Jamaa aktika mizunguko yake kafika mahali akajiskia ana kiu akaenda nyumba iliyokuwa jirani na hapo akaomba maji
ya kunywa.. Akaja mtoto na kikombe cha maziwa akampa.
Jamaa alipomaliza akaomba aongezwe dogo akamletea tena maziwa.. Jamaa ikabidi aulize, '
" vipi mbona mnagawa maziwa kwa wingi namna hiyo?'' 
dogo akamwambia kuwa panya alindumbukia kwenye maziwa ndio maana wote hapa nyumbani wameyakataa.. duh jamaa kusikia vile kwa mshangao akaachia kikombe chini kikavunjika.. yule dogo akapiga kelele eti ...
''Yalaaaaaaaaa kile kikombe Bibi anachotemea mate kimevunjikaaaaaaa....!!!!!!"

0 comments:

Post a Comment

 
Said Nuhu © 2012 SAID NUHU BLOGS. BLOG IMETENGENEZWA NA BongoClan blog designer nipigie 0658184797