Pages

 

Wednesday, May 23, 2012

TEH TEH TEH...SOMA STORI,ONA PICHA UCHEKE KAMA MWEHU

0 comments
ETI  EEEENH?


 


  
 
 


NANI BOMBA HAPO?

-----------*----------*-----------------*--------------------*--------------

                       SWAGA ZA SHAROBARO!
 
SHAROBARO kakutana na bonge la kimwana muda huu. Akaanza swaga zake:

SHAROBARO: Wosap girl?

KIMWANA: Hi!

SHAROBARO: Yeah, yeaah wotsa ya name?

KIMWANA: I'm Angel...and you?

SHAROBARO: Yeah, Yeaah I'm God

KIMWANA akajua SHAROBARO huyo hana lolote, ila akaamua kwenda naye sawa.

KIMWANA: Wow! Good!

SHAROBARO: Yeaah, yeah, goodest! Whea u study?

KIMWANA: At IFM pursuing a degree in Information Technology, and u?

SHAROBARO: Yeah, yeah me at CBE pashwing `degree` in `diploma` of `certificate` management.

KIMWANA akataka kucheka, akamezea na kwenda naye sahani moja.

KiIMWANA: wooow! That is so fantastic!

SHAROBARO: Yeah, yeah...thaz so pepsisti
HA HA HA HA HA HA SHARO IMEKULA KWAKE!
----*-----*-------*--------*----------*---------*-----------*---------*------
 
 
KIFO HAKIJALI TAALUMA....BORA KUTOKA NDUKI TU
 


------------------------------------------------------------------------------------------------------

TABATA HIYOOOOOOOOOOOO!



 


---------------------------------------------------------------------------------------------------


JANA USIKU !
Tulianza kama utani, tukajikuta kitandani, nikamuuliza una mavi? Akasema hana basi nikaanza kulamba. Ile nalamba tu si ndo akatoa mavi..! Ama kweli karata ni mchezo wa ajabu sana!!!


DU SI MCHEZO!!!

Tajiri mmoja, baada ya kufa alizikwa kifahari sana, jeneza,suti,viatu,cheni na saa vyote vikigharimu zaidi ya millioni 10. Sasa kulikuwa na msela  kitaani ambaye kachoshwa na ugumu wa maisha, akapanga baada ya mazishi aje makaburini kufukua maiti, akipata vile vyote basi atakuwa katoka ki maisha. Kweli usiku ulivyofika tu jamaa akafika eneo la makaburi.Alifanikiwa kufukua akaivua maiti vitu vyote afu akaifukia bila jeneza.Akapakia vitu ndani ya jeneza,kisha akajitwisha kichwani.Ile ananyanyua mguu tu walinzi hao. Jamaa ikabidi atumie akili ya kuzaliwa na kuanza kuongea mwenyewe kama hivi 
"wapumbavu kweli hawa,kabla sijafa mi niliwaambia sitaki wanizike hapa, ila hawakusikia.Sasa mimi naenda kule nilikowaambia wanizike,na atakaye katiza mbele yangu atakuwa udongo wakunifukia"
Unajua kilichofuata kwa wale walinzi? mmoja kakutwa Somalia anakimbia vibaya, mwingine aliwahi mwenyewe kwenye vyumba vya kuhifadhi maiti!
UTOTO BANA!!
Watoto wawili Bakari na Frank walikuwa kwenye ubishani

BAKARI. Huyo Rais mwenyewe tu anamwinamia Baba yangu!

 
FRANK.Acha kamba wewe Beka kwani Baba yako yeye ni nani?
 
BAKARI. Kinyozi !




HIZI NDO ZINAITWA NDOTO NJEMA?

0 comments:

Post a Comment

 
Said Nuhu © 2012 SAID NUHU BLOGS. BLOG IMETENGENEZWA NA BongoClan blog designer nipigie 0658184797