Pages

 

Wednesday, July 10, 2013

HII NDIO AKAUNTI RASMI YA TWITTER ILIYOFUNGULIWA NA KLABU YA MANCHESTER UNITED

0 comments
Baada ya kusita kwa muda mrefu kujiunga na na mtandao wa Twitter klabu ya Manchester United imeamua kufanya hivyo kwa kufungua akaunti ya Twitter @ManUtd ambayo imethibitishwa (verified) na Mtandao wa Kijamii wa Twitter.

0 comments:

Post a Comment

 
Said Nuhu © 2012 SAID NUHU BLOGS. BLOG IMETENGENEZWA NA BongoClan blog designer nipigie 0658184797